Top Stories

Tundu Lissu “mchagueni Mbunge yeyote Kigoma Mjini”

on

Mgombea Urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, amewataka wananchi wa Kigoma mjini kuchagua kiongozi yeyote mwenye nguvu kati ya ACT- Wazalendo na CHADEMA.

Lissu, ameewaacha njia panda wanachama wa chama hicho katika Jimbo la Kigoma Mjini wakati akizungumza katika kampeni ya kuomba ridhaa ya wananchi kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Octoba 28, mwaka huu.

“Kama mgombea katika jimbo hili ana nguvu, mchagueni huyo na kama mgombea wa chama cha ACT – Wazalendo, ana nguvu muungeni mkono yeyote mwenye nguvu ndio mgombea wangu” Lissu

Lissu amesema lengo la upinzani ni kuing’oa CCM, hivyo uamuzi wa nani anapaswa kupewa kura kwenye Jimbo hilo ameuacha kwenye mikono ya wakazi wa jimbo hilo.

PROF. MKENDA AJIBU MADAI YA KUUZA MLIMA KILIMANJARO, KUFUKUZWA KAZI NA JPM

Soma na hizi

Tupia Comments