Top Stories

Tundu Lissu na wenzake wafutiwa mashtaka na DPP

on

Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) ameiondoa kesi namba 208/2016 iliyokuwa inawakabili Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu na wenzake wahariri wa Gazeti la Mawio, akiwemo Jabir Idrisa na Meneja wa Kiwanda cha Jamana, Ismail Mehboob kwa kuwa hana nia ya kuendelea na kesi hiyo.

Katika kesi hiyo kwa pamoja washtakiwa hao, wanakabiliwa na mashtaka matano ikiwamo  kuandika habari za uchochezi kinyume na Sheria ya Magazeti ya Mwaka 2002.

Ilidaiwa kuwa kati ya  Januari 12 hadi 14, 2016 jijini Dar es Salaam, washtakiwa Jabir, Mkina na Lissu, waliandika na kuchapisha taarifaza uchochezi zenye kichwa cha habari kisemacho, ‘Machafuko yaja Zanzibar.’

HOJA MPYA KESI YA MBOWE, MAHAKAMA YATOA AMRI, WAKILI KIBATALA ANENA “IFUTWE, AMESHINDWA KUJA”

KWA MARA YA KWANZA, MBOWE, WENZAKE WAFIKISHWA MAHAKAMA YA MAFISADI

KESI YA MBOWE NA WENZAKE, SERIKALI KUANZA KUTOA USHAHIDI MAHAKAMA YA MAFISADI

Soma na hizi

Tupia Comments