AyoTV

Maoni ya Hussein Bashe kuhusu muswada wa hifadhi ya jamii (+Video)

on

Mbunge wa Nzega mjini Hussein Bashe alikuwa ni miongoni mwa Wabunge waliopata nafasi ya kusimama Bungeni ili kuwasilisha mapendekezo yake katika muswada wa sheria ya mfuko wa hifadhi ya jamii kwa watumishi wa umma wa mwaka 2017 (The Public Services Social Security Fund Bill, 2017) uliosomwa kwa mara ya pili, Kamati ya Bunge zima na mara ya tatu ambapo aliishauri Serikali kufanya mapitio mapya kabla ya kuupitisha.

VI Eriksen na Jones walivyomuharibia siku Ommy Dimpoz akiwa London

Soma na hizi

Tupia Comments