Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Tupac Shakur Kupokea tuzo ya ‘Dead Star on Hollywood Walk of Fame’
Share
Notification Show More
Latest News
Shule yatozwa faini kwa kutumia picha za watoto bila idhini ya wazazi Kenya
September 27, 2023
Waziri mkuu wa zamani wa Pakistan Imran Khan ahamishwa jela nyingine,kifungo charefushwa
September 27, 2023
Mkuu wa Umoja wa Mataifa atoa wito wa kukomeshwa kwa silaha za nyuklia
September 27, 2023
Korea Kaskazini kumfukuza mwanajeshi wa Marekani Travis King aliyevuka kutoka Korea Kusini
September 27, 2023
CP Kaganda arejea nchini ataja mikakati madhubuti kuboresha utendaji kazi kwa askari wakike
September 27, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Entertainment > Tupac Shakur Kupokea tuzo ya ‘Dead Star on Hollywood Walk of Fame’
Entertainment

Tupac Shakur Kupokea tuzo ya ‘Dead Star on Hollywood Walk of Fame’

June 1, 2023
Share
2 Min Read
SHARE

Tupac Shakur baada ya kifo chake anatunukiwa kama nyota kwenye Hollywood Walk of Fame takriban Miaka 27 baada ya kufariki kwake kulingana na CBS News.

Kulingana na kituo hicho, Ana Martinez, mtayarishaji wa shirika hilo, alipost taarifa hiyo kupitia Twitter siku ya Jumatano. Katika tweet, Martinez alishiriki picha ya Tupac na maelezo mafupi kuhusiana na sherehe inayokuja.

“Tupac Shakur to be honored with the 2,758th star on the Hollywood Walk of Fame!”

“Ceremony will be held on June 7, at 10:30 am Catch livestream at http://walkoffame.com #WalkofFame“unaweza pia kuitazama show hiyo mubashara.

Aidha, shirika  hilo pia lilishiriki taarifa rasmi kwa vyombo vya habari kuhusu tukio hilo. Kulingana na toleo hilo, mwigizaji maarufu wa redio Big Boy atashiriki hafla hiyo wakati wazungumzaji waalikwa watajumuisha Mkurugenzi Allen Hughes, Jamal Joseph, na dadake Tupac, Sekyiwa Shakur, ambao watampokea nyota huyo kwa niaba ya Shakur.

 “Tupac Shakur was a rapper, actor, activist, poet, and revolutionary.  This iconic artist has continued to be part of the zeitgeist for decades after his passing and will continue to be an important cultural figure for many years to come… The late Tupac Shakur is an internationally recognized artist renowned for his work, defying distinction between art and activism. Though his career lasted just five years, Tupac Shakur remains one of the most complex and prolific artists of his generation with over 75 million records sold worldwide…”

Heshima hiyo inawasili takriban wiki moja kabla ya kuadhimisha Miaka 52 ya Kuzaliwa kwa Tupac

You Might Also Like

Shule yatozwa faini kwa kutumia picha za watoto bila idhini ya wazazi Kenya

Waziri mkuu wa zamani wa Pakistan Imran Khan ahamishwa jela nyingine,kifungo charefushwa

Mkuu wa Umoja wa Mataifa atoa wito wa kukomeshwa kwa silaha za nyuklia

Korea Kaskazini kumfukuza mwanajeshi wa Marekani Travis King aliyevuka kutoka Korea Kusini

CP Kaganda arejea nchini ataja mikakati madhubuti kuboresha utendaji kazi kwa askari wakike

TAGGED: TZA HABARI
Geena TZA June 1, 2023
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Zimbabwe yapitisha mswada wa kuadhibu raia wenye ‘vitendo visivyo vya kizalendo’
Next Article Temeke Hospitali wapewa vitanda vya Milioni 21, waahidiwa Alphardna Bandari DSM
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Shule yatozwa faini kwa kutumia picha za watoto bila idhini ya wazazi Kenya
Top Stories September 27, 2023
Waziri mkuu wa zamani wa Pakistan Imran Khan ahamishwa jela nyingine,kifungo charefushwa
Top Stories September 27, 2023
Mkuu wa Umoja wa Mataifa atoa wito wa kukomeshwa kwa silaha za nyuklia
Top Stories September 27, 2023
Korea Kaskazini kumfukuza mwanajeshi wa Marekani Travis King aliyevuka kutoka Korea Kusini
Top Stories September 27, 2023

You Might also Like

Top Stories

Shule yatozwa faini kwa kutumia picha za watoto bila idhini ya wazazi Kenya

September 27, 2023
Top Stories

Waziri mkuu wa zamani wa Pakistan Imran Khan ahamishwa jela nyingine,kifungo charefushwa

September 27, 2023
Top Stories

Mkuu wa Umoja wa Mataifa atoa wito wa kukomeshwa kwa silaha za nyuklia

September 27, 2023
Top Stories

CP Kaganda arejea nchini ataja mikakati madhubuti kuboresha utendaji kazi kwa askari wakike

September 27, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?