Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: “Tupambane na UKIMWI” Mkurugenzi UNAIDS
Share
Notification Show More
Latest News
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo March 27, 2023
March 27, 2023
Picha: Kutoka kwenye Usiku wa Malkia wa nguvu Mlimani City Hall DSM
March 26, 2023
Hhayuma afunguka uwepo wa Baraza la ardhi Hanang, ‘Nilitaka kushika Shilingi ya Waziri Bungeni’
March 26, 2023
Picha: Mfugaji akamilisha Mjengo wake, aishukuru Kampuni ya Asas kwa kufanikisha ndoto zake
March 26, 2023
Waziri Jafo acharuka, atoa maagizo Mbweni “Wachimba Mchanga, kamata gari, hatua zichukuliwe”
March 26, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Top Stories > “Tupambane na UKIMWI” Mkurugenzi UNAIDS
Top Stories

“Tupambane na UKIMWI” Mkurugenzi UNAIDS

January 31, 2023
Share
1 Min Read
SHARE

Mkurugenzi Mkuu wa UNAIDS Dkt. Winnie Byanyima ametembelea Ofisi za Baraza la Taifa la Watu Wanaoishi na VVU (NACOPHA) leo January 31, 2023 jijini Dar-es-salaam.

Katika ugeni huo aliweza kukutana ana kwa ana na Bodi ya NACOPHA , mitandao ya watu wanaoishi na VVU ikiwemo mtandao wa Vijana, Jukwaa la Wanawake na Makundi Maalumu .

Aidha alifurahishwa sana na kazi kubwa inayofanywa na NACOPHA na kusema kwamba UNAIDS itaendelea kushirikiana na NACOPHA lakini pia alisema UNAIDS itajitaidi kuleta pamoja huduma za kuwafikia watu wanaoishi na VVU(WAVIU) na kutatua matatizo mbali mbali. Dkt Winnie pia alisema

“Tuhakikishe kuwa tunapambana na UKIMWI, haki za watoto, kutokomeza unyanyapaaa huku tukitetea haki za binadamu ili kupata matokeo mazuri katika muitikio wa UKWIMI”. Katika ziara Hii mgeni rasmi aliambatana na Mkurugenzi wa Kanda ya Mashariki na Kusini mwa Afrika wa UNAIDS Bi. Anne Githuku – Shongwe na Mkurugenzi Mkazi wa UNAIDS Nchini Tanzania Dkt.Martin Odit.

You Might Also Like

Picha: Kutoka kwenye Usiku wa Malkia wa nguvu Mlimani City Hall DSM

Hhayuma afunguka uwepo wa Baraza la ardhi Hanang, ‘Nilitaka kushika Shilingi ya Waziri Bungeni’

Picha: Mfugaji akamilisha Mjengo wake, aishukuru Kampuni ya Asas kwa kufanikisha ndoto zake

Waziri Jafo acharuka, atoa maagizo Mbweni “Wachimba Mchanga, kamata gari, hatua zichukuliwe”

Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Mwanza limefanya misa Takaridu ya Kumuombea Hayati JPM

TAGGED: TZA HABARI
Pascal Mwakyoma TZA January 31, 2023
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article RC Mtwara ashukuru baada ya kupokea taulo za kike za Miliomi 5
Next Article Habari kubwa Magazetini Kenya leo January 31, 2023
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo March 27, 2023
Magazeti March 27, 2023
Picha: Kutoka kwenye Usiku wa Malkia wa nguvu Mlimani City Hall DSM
Top Stories March 26, 2023
Hhayuma afunguka uwepo wa Baraza la ardhi Hanang, ‘Nilitaka kushika Shilingi ya Waziri Bungeni’
Top Stories March 26, 2023
Picha: Mfugaji akamilisha Mjengo wake, aishukuru Kampuni ya Asas kwa kufanikisha ndoto zake
Top Stories March 26, 2023

You Might also Like

Top Stories

Picha: Kutoka kwenye Usiku wa Malkia wa nguvu Mlimani City Hall DSM

March 26, 2023
Top Stories

Hhayuma afunguka uwepo wa Baraza la ardhi Hanang, ‘Nilitaka kushika Shilingi ya Waziri Bungeni’

March 26, 2023
Top Stories

Waziri Jafo acharuka, atoa maagizo Mbweni “Wachimba Mchanga, kamata gari, hatua zichukuliwe”

March 26, 2023
Top Stories

Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Mwanza limefanya misa Takaridu ya Kumuombea Hayati JPM

March 26, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?