Habari za Mastaa

Trace imezitaja Video mbili za kitanzania kwenye Urban Hit 10

on

Mtu wangu  August 31 2016  Trace TV kupitia chat za Urban hit 10 wamezitaja video mbili tu kutoka Tanzania kwenye chat za urban hit 10, taarifa hii ikufikie kuwa  Diamond Platnumz pamoja  na Mayunga ndio wasanii pekee kutoka Tanzania waliopo kwenye chat hizo za urban hit 10.

Usisahau pia kuniachia comment yako hapa kuhusiana Urban hit 10 ya Trace TV

20160831_203736

20160831_203821

20160831_203839

20160831_204203

20160831_204230

20160831_204133

20160831_204115

20160831_204044

20160831_204018

20160831_203952

ULIKOSA KUITAZAMA VIDEO YA MSANII KUTOKA NIGERIA YCEE AMEMTAJA MSANII WA BONGO ANAYEMKUBALI? UNAWEZA KUITAZAMA NIMEKUWEKA HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments