Habari za Mastaa

Tuzo za Grammy zimerudi, Mchekeshaji wa Afrika Kusini kuwa-host

on

Ni Headlines za Tuzo za Grammy ambapo kupitia uongozi wake leo January 20, 2022 wametangaza rasmi siku ya kufanyika kwa shughuli ya utoaji wa tuzo hizo.

Uongozi umesema tuzo hizo zitafanyika April 3, 2022 katika ukumbi wa MGM huko jijini Las Vegas nchini Marekani.

Hapo awali uongozi ulitapanga hafla hiyo kufanyika January 31, 2022 wakahirisha kutokana na kirusi kipya cha Covid 19 kiitwacho Omicron.

.

Tuzo hizo zitashereheshwa na mchekeshaji, Trevor Noah kutokea nchini Afrika Kusini.

MWANASHERIA AFUNGUKA ENDAPO UKASAMBAZA VIDEO ZA UTUPU AU UKATUMIWA CONNECTION “FAINI NA VIFUNGO”

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Soma na hizi

Tupia Comments