Shule ya Msingi Brookside iliyopo Kimara Suka, Wilaya yaUbungo ,Jijini Dar es Salaam imedhamiria kuendelea kuwamlipaji mzuri kwa kodi kwa lengo la kuchangia maendeleo yataifa letu.
Hivi karibuni shule hiyo ilikabidhiwa tuzo na Mamlaka yaMapato Tanzania (TRA) Jijini Dar es Salaam ikiwa ni miongonimwa mwa walipaji kodi bora hapa nchini.
“Shule yetu imedhamiria kuendesha biashara zake kwakuzingatia sheria na kanuni za nchi ili kuchangia kikamilifuujenzi wa uchumi wa taifa,anasema Meneja wa Shule hiyoMasanja Maduhu.
Meneja huyo anasema kuwa shule yake imedhamiria kuendeleakutoa elimu bora kwa wakazi wa Ki mara, Wilaya ya Ubungo namaeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam.
“Natoa wito kwa wananchi wa Dar es Salaam kuendelea kuletawatoto wao kwenye shule yetu kwani tunawahakikishia elimu bora kwa vijana wao,”
Shule hiyo inatoa elimu ya Awali na Msingi na kwambawamedhamiria kuendelea kutoa elimu bora kwa wananchi.