AyoTV

Video ya Washindi wa tuzo, Lulu na Richie walivyomfikia Makamu wa Rais Dar

on

March 13 2016 washindi wa tuzo ya  Africa Magic Viewer’s choice Awards 2016,Single Mtambalike na Elizabeth MichaelLulu’  leo waamezipeleka tuzo zao mbili nyumbani kwa Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu.

Waigizaji hao ambao kila mmoja alishinda tuzo katika vipengele tofauti ambapo Mwigizaji wa kike Elizabeth Michael (Lulu) alishinda Tuzo ya Best Movie in East Africa katika Movie yake ya Mapenzi na Single Mtambalike (Richie) alishinda tuzo ya Best Indigeous Language Movie/TV Series Swahili kupitia Movie ya Kitendawilizilizotolewa Lagos, Nigeria Jumamosi ya March 5 2016.

Uliikosa hii ya Full video: Mwanzo mwisho Lulu alivyoitembeza tuzo yake kwenye Range Rover?

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na MillardAyo kwenye TwitterFBInstagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>>INSTAGRAM TWITTER  FB  YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments