AyoTV

AyoTV: Dakika 8 za walichofanya Diamond na Wema Mtwara.

on

Screen Shot 2014-05-04 at 10.00.33 PM

Diamond Platnumz pamoja na baby wake Wema Sepetu waliambatana kwenda 88.4 Mtwara kwa ajili ya show ya heels and tie iliyoandaliwa na Vodacom na kuifanya Makonde Beach May 2 2014.

Ilikua ni show nzuri ambayo ilijaza mashabiki wa aina mbalimbali ambao walipewa taarifa za kuwasili kwa mastaa hawa wiki kadhaa kabla.

Tupia Comments