AyoTV

AUDIO: “Wapinzani tumekuwa tukiisema Serikali lakini…!” – Zitto

on

Baada ya Serikali kuwasilisha Bungeni miswada mitatu kwa hati ya dharura ikiwemo mikataba ya madini huku ikitoa siku tano kwa Wabunge na wadau kuijadili, baadhi ya Wabunge wa upinzani wameonesha kutoridhika na muda uliotolewa wakisema ni mchache hali imekuwa tofauti kwa ACT-Wazalendo ambapo kiongozi mkuu wake Zitto Kabwe akisema wanaotaka muda uongezwe hawana hoja.

VIDEO: Onyo la Waziri Nchemba kwa Wabunge wanaoshabikia mauaji ya KIBITI 

Soma na hizi

Tupia Comments