AyoTV

VIDEO: ‘Lazima tufanye mabadiliko ya sheria’-Rose Tweve

on

May 4, 2017 Wabunge wameendelea kuchangia katika makadirio ya mapato na matumizi ya fedha  kwa maka 2017/2018 katika Wizara ya Afya, ustawi wa jamii, jinsia, wazee na watoto ambapo kati ya waliopata nafasi hiyo ni pamoja na mbunge wa viti maalum CCM Rose Tweve ambaye alipendekeza serikali kufanya mabadiliko ya sheria za watoto.

VIDEO: Wizara ya Afya imeomba kutengewa Trilion 1.1 kama bajeti yake 

BREAKING NEWS zote na stori za mastaa utazipata kwa Reporter wako MillardAyo, hakikisha umejiunga na mimi kwenye Facebook, Twitter, Instagram, Snapchat, Youtube, APP kwenye ANDROID na IOS kote huko kwa jina hilohilo la @millardayo

Soma na hizi

Tupia Comments