Leo March 1, 2017 Ripoti mpya ya taasisi ya utafiti ya Twaweza imetoa matokeo ya utafiti wake uliofanywa ili kubaini ukweli wa ishu hiyo ya upungufu wa chakula. Baada ya kuzinduliwa kwa matokeo ya utafiti huo mbunge wa Kigoma mjini Zitto Kabwe alizungumza kuhusu ripoti hiyo.
“Kuna upungufu wa chakula nchini kwa hiyo ni ukweli ambao watu walikuwa wanabishania lakini utafiti umetoa ushahidi kwamba asilimia 78% wasema wao wanaona kuna upungufu wa chakula nchini”-Zitto Kawe
VIDEO: Kauli ya Waziri wa kilimo kuhusu hali ya chakula na ukame nchini, Bonyeza play hapa chini