Michezo

Tweets za Ashley Cole akitangaza kustaafu kuichezea England

on

c70d90a123497a74d46492b1495882e0Wakati yakiwa yamebakia masaa machache kabla ya kocha Roy Hodgson hajatangaza kikosi cha hatua ya kwanza kitakachoenda Brazil kushiriki michuano ya kombe la dunia, beki wa kimatafa wa nchi hiyo na timu ya Chelsea Ashley Cole ametangaza kustaafu kucheza la kimataifa.

Muda mchache baada ya mchezo wa jana dhidi ya Cardiff kuisha, Cole alitumia mtandao wa Twitter kutangaza adhma yake ya kuachana na soka la kimataifa baada ya kufanya mazungumzo na kocha Roy Hodgson.

cole copy

Tupia Comments