Magazeti

Ninazo tayari hizi #TWEETS zilizobeba stori zote kubwa kutoka kwenye Magazeti 10 ya Tanzania August 19, 2015

on

 

hash

Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo.

Najua huenda stori nyingine zinakupita, hapa nimezikusanya zote zilizoguswa na #Tweets za #Magazeti August 19 2015, unazisoma zote kwa pamoja.

CCM yaunda Kikosi Kazi maalum cha Makada 32 wa kumvaa LOWASSA, ni uteuzi mzito ukiofanywa na Kamati Kuu #MAJIRA >>http://t.co/fVUX4eAvF5

— millard ayo (@millardayo) August 19, 2015

PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia za siasa muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos

Tupia Comments