Magazeti

#TWEETS zilizobeba stori zote kubwa kutoka kwenye Magazeti 8 ya Tanzania August 25, 2015

on

WEEK

Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo.

Najua huenda stori nyingine zinakupita, hapa nimezikusanya zote zilizoguswa na #Tweets za #Magazeti August 25 2015, unazisoma zote kwa pamoja.

 

LOWASSA aja na staili mpya ya kampeni,yeye na mgombea mwenza wapanda daladala na kusikiliza kero za wananchi maeneo ya G’mboto,Chanika#MWANANCHI

— millard ayo (@millardayo) August 25, 2015

PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia za siasa muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos

Tupia Comments