fB insta twitter

Kitwanga atetewa na wananchi, Madiwani wa Jimboni kwake, waeleza madai yao

on

Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo.

May 24 2016 tayari nimezikusanya na waweza kuzipitia hapa chini moja baada ya nyingine, moja ya habari kubwa ni kutoka Gazeti la Majira yenye kichwa cha Habari ‘Kitwanga atetewa jimboni, waonya, wapiga kura wataka aombwe radhi

Kwa mujibu wa Gazeti la Majira limesema Madiwani na wananchi hao wamedai video hiyo imechezwa kitaalamu na watu wa Teknolojia ya Mawasiliano ‘IT’ ili kufanikisha lengo la kuonesha kuwa mbunge wao alikuwa amelewa bungeni.

Hivyo wameliomba bunge lifanye uchunguzi na kubaini wale wote waliosambaza video inayoonesha Kitwanga akiwa anaongea akionekana amelewa wakati kiuhalisia hakulewa, bali alijibu maswali yote vizuri

ULIIKOSA VIDEO YA ALIYEKUWA WAZIRI KITWANGA AKIJIBU MASWALI BUNGENI NA KUDAIWA ALILEWA? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI 

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments