fB insta twitter

‘Freemason yatibua fedha za TASAF mkoani Singida’

on

Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo. Tayari nimezikusanya na waweza kuzipitia hapa chini moja baada ya nyingine.

Moja ya stori iliyoripotiwa ni hii kwenye gazeti la Mwananchi yenye kichwa cha habari ‘Freemason yatibua fedha za TASAF mkoani Singida’

Gazeti hilo limeripoti kuwa halmashauri ya wilaya ya Mkalama mkoani Singida imerudisha zaidi ya milioni 12.1 katika mfuko wa maendeleo ya jamii ‘TASAF’ makao makuu baada ya baadhi ya kaya maskini kukataa kuzipokea kwa madai kuwa fedha hizo ni za ‘freemason’

Mratibu wa TASAF wa wilaya hiyo, Athumani Dulle alitaja sababu nyingine zilizochangia fedha hizo zisipokele kuwa ni vifo, kuhama kwa kaya na baadhi ya walengwa kukosa taarifa ya siku ambazo fedha hizo zilikuwa zinatolewa kusaidia kaya hizo.

Unaweza kupitia hapa chini habari nyingine kubwa kwenye magazeti ya july 02 2016

ULIKOSA UCHAMBUZI WA MAGAZETI KUTOKA JULY 02 2016 KUTOKA AYO TV? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI 

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments