AyoTV

BREAKING: Maamuzi ya Wabunge wa Upinzani baada ya Mnyika kutolewa Bungeni

on

Taarifa nilizozipokea mchana wa leo June 2, 2017 ni kutoka Bungeni Dodoma, ni taarifa ya ambayo inawahusu Wabunge wa Upinzani kuamua kutoka nje ya Bunge kupinga kitendo cha Spika Job Ndugai kumtoa Mbunge wa Kibamba John Mnyika.

millardayo.com na AyoTV zinafuatilia kwa ukaribu kupata taarifa kamili.

Upinzani wasusa Vikao vya Bunge baada ya Mnyika kutolewa

Soma na hizi

Tupia Comments