Habari za Mastaa

CloudsFM Top 20: Ngoma 20 kali zilizopangwa kwenye list leo April 2

on

April 2, 2017 kupitia Clouds FM Top 20 ambayo mtangazaji Mami Baby alizihesabu nyimbo 20 bora za wiki, millardayo.com inakukaribisha kujua chart hiyo imesimama namna gani ambapo kulikuwa na maingizo mapya sita Timbulo ameingiza ‘Mfuasi’, wakati Maua Sama akiingia na ‘Main chick’ huku Prof Jay akiingiza ‘Kibabe.’

Chege ft Temba wakaingia na ‘Go down’ na Big Jah Man ft fd Q akiingiza wimbo wa ‘Mabundi’ na ‘If’ wa Davido. 

VIDEO: Mtoto mwenywe uwezo wa kujibu maswali papo kwa papo kataja timu na viongozi

On Air: ‘Nimepigiwa simu na wanaoimba HipHop ngumu wameniambia hii ni noma’ Jay Moe

 

Soma na hizi

Tupia Comments