AyoTV

VIDEO: Mbunge wa Iringa Rose Tweve kaguswa na hii ishu ya mapato kwa Wanawake na Vijana

on

Kila mwaka halmashauri hutenga asilimia tano ya mapato yake kwa ajili ya kuwakopesha wanawake na vijana, Leo Mei 5 2016 Mbunge wa viti maalum Iringa Rose Tweve ameiuliza Serikali

Je, hadi sasa ni watu wangapi wamewezeshwa na mikopo hiyo?’ Nakukutanisha na Naibu waziri wa ofisi ya Rais, Tamisemi, utumishi na utawala bora Selemani Jafo akijibu maswali ya Rose.

ULIIKOSA HII YA PAUL MAKONDA NA MIPANGO YA UENDESHAJI WA JIJI LA DAR ES SALAAM?

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments