Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: TXC kutua DAR, kuinogesha Kidimbwi Beach Jumapili hii
Share
Notification Show More
Latest News
Ndugu abiria kulipwa Milioni 150, Wakili aibua mapya ‘Watu binafsi waliopost meme wajiandae’
August 11, 2022
Ajali Mbaya!! Watu sita wafariki, Polisi wafunguka, chanzo ‘Dereva alikuwa Mwendokasi, lilipinduka’
August 11, 2022
Hafla ya makabidhiano ya data za utafutaji wa Mafuta na Gesi asilia kwa vitalu Zanzibar
August 11, 2022
Ukumbini: Bwana Harusi aonesha video ya mkewe akiwa faragha na shemeji yake chumbani
August 11, 2022
“Marufuku kuingia na silaha Taifa” Kamanda Muliro
August 11, 2022
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Habari za Mastaa > TXC kutua DAR, kuinogesha Kidimbwi Beach Jumapili hii
Habari za Mastaa

TXC kutua DAR, kuinogesha Kidimbwi Beach Jumapili hii

July 7, 2021
Share
1 Min Read
.
SHARE

Good news ninayotaka kukusogezea kwa wewe mpenda burudani hususani muziki wa Afrika Kusini maarufu kama Amapiano ni kwamba warembo wanaounda kundi la liitwalo  TXC akiwemo  Tarryn & Clair wanatarajiwa kutua kwa mara nyingine katika ardhi ya Samia wikiendi hii.

.

Tarryn na Clair utakuwa ni ujio wao wa mara ya pili kuja Tanzania ambapo mnamo 11th July,2021 Jumapili hii wanatarajia kutoa burudani ya kuzicheza nyimbo zinazotamba kwasasa almaarufu kama Amapiano.

.

Wakali hao watazicheza live mbele ya watanzania watakaofika kwenye fukwe za Bahari maarufu kama Kidimbwi Beach iliyopo Mbezi ya chini karibu na Shoppers Plaza Dar es Salaam.

.

ULIIKOSA HII SUPRISE YA DARASSA YATAKA KUMTOA MACHOZI SHO MADJOZI JUKWAANI HUKU AKIWAIMBIA WATANZANIA KIDIMBWI BEACH 

You Might Also Like

Tanzania ya 3 kutumia Audiomack, wasanii changamkieni

Mkali Burna boy ametuletea hii video mpya akiwa amemshirikisha Ed Sheeran

Tazama alichokifanya Diamond mbele ya Wizkid backstage, ampa Shavu Focalistic (video+)

Picha: Zuchu, Mwana FA na wengineo walivyotoa burudani hafla ya kuwaaga Wabunge

Str8upvibes kumleta ‘Kizz Daniel’ Tanzania?

Edwin TZA July 7, 2021
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Utaipenda Wolper alivyojiachia kwenye jukwaa Sabasaba, ampiga busu mpenzi wake
Next Article Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo July 8, 2021
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Ndugu abiria kulipwa Milioni 150, Wakili aibua mapya ‘Watu binafsi waliopost meme wajiandae’
Top Stories August 11, 2022
Ajali Mbaya!! Watu sita wafariki, Polisi wafunguka, chanzo ‘Dereva alikuwa Mwendokasi, lilipinduka’
Top Stories August 11, 2022
Hafla ya makabidhiano ya data za utafutaji wa Mafuta na Gesi asilia kwa vitalu Zanzibar
Top Stories August 11, 2022
Ukumbini: Bwana Harusi aonesha video ya mkewe akiwa faragha na shemeji yake chumbani
Top Stories August 11, 2022

You Might also Like

Top Stories

Ndugu abiria kulipwa Milioni 150, Wakili aibua mapya ‘Watu binafsi waliopost meme wajiandae’

August 11, 2022
Top Stories

Ajali Mbaya!! Watu sita wafariki, Polisi wafunguka, chanzo ‘Dereva alikuwa Mwendokasi, lilipinduka’

August 11, 2022
Top Stories

Hafla ya makabidhiano ya data za utafutaji wa Mafuta na Gesi asilia kwa vitalu Zanzibar

August 11, 2022
Top Stories

“Marufuku kuingia na silaha Taifa” Kamanda Muliro

August 11, 2022
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?