Habari za Mastaa

VIDEO: Mfahamu Mbunifu wa Mavazi anayetamani kumvalisha Rais JPM

on

Mbunifu wa mavazi Agnes ambaye ameshiriki kubuni mavazi ya mastaa wa muziki wa Bongofleva Belle 9 na G Nako ambayo waliyatumia kwenye video ya wimbo ‘Ma Ole’ amekaa kwenye EXCLUSIVE na Ayo TV na millardayo.com na kueleza ndoto zake.

Agnes amesema kuwa licha ya kutamani kuwavalisha mastaa wa Bongo ndoto yake kubwa ni kumvalisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli na marais wengine Duniani…

>>>”…kwanza ningependa nimvalishe Diamond. Pili kwa Vanessa, tatu Navy Kenzo, yaani Aika na Nahrel napenda wanavyojituma. Jokate…mwingine ni Magufuli. Napenda sana kufanya vitu vikubwa na ndoto yangu ni kuwavalisha marais Duniani kote.” – Agnes

Play hapa chini kusikiliza Full story

VIDEO: Steve RNB afunguka kuhusu ukimya wake, ujio mpya

Soma na hizi

Tupia Comments