Duniani

VIDEO: Sheria yapitishwa wanafunzi kuingia na bunduki madarasani Texas

on

Kituo kikubwa cha habari BBC kimetaja mji wa Texas nchini Marekani kupitisha sheria ya wanafunzi wenye umri kuanzia miaka 21 kuruhusiwa kuingia na silaha aina ya bunduki madarasani vyuoni kwao, sababu kubwa walizozitoa ni kuelezea juu ya matukio 12 ya kupigwa risasi yaliotokea kwenye vyuo vya marekani  kwa mwaka 2016.

Texas imekuwa mji wa 8 kwa vyuo vyake kupitishwa sheria hiyo ili wanafunzi kujilinda na mauwaji ya watu wengi yaliyokua yakitokea hapo awali nchi Marekani, niekuwekea video hapa chini ya taarifa hizi unaweza ukaitazama.

ULIKOSA KUIONA VIDEO YA BOMBA LA MFUTA LITAKALO JENGWA UGANDA MPAKA TANZANIA KUPATIWA JINA LAKE? ICHEKI VIDEO NIMEKUEKEA HAPA CHINI

 

Soma na hizi

Tupia Comments