Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Rapper Tyga amtosa mpenzi wake Blac Chyna na hiki ndicho chanzo.
Share
Notification Show More
Latest News
PICHA: Matukio ya Mkutano Mkuu wa CAF uliyofanyika Tanzania
August 11, 2022
Ndugu abiria kulipwa Milioni 150, Wakili aibua mapya ‘Watu binafsi waliopost meme wajiandae’
August 11, 2022
Ajali Mbaya!! Watu sita wafariki, Polisi wafunguka, chanzo ‘Dereva alikuwa Mwendokasi, lilipinduka’
August 11, 2022
Hafla ya makabidhiano ya data za utafutaji wa Mafuta na Gesi asilia kwa vitalu Zanzibar
August 11, 2022
Ukumbini: Bwana Harusi aonesha video ya mkewe akiwa faragha na shemeji yake chumbani
August 11, 2022
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Habari za Mastaa > Rapper Tyga amtosa mpenzi wake Blac Chyna na hiki ndicho chanzo.
Habari za Mastaa

Rapper Tyga amtosa mpenzi wake Blac Chyna na hiki ndicho chanzo.

August 13, 2014
Share
1 Min Read
SHARE

tygaRapper Tyga amekuwa na uhusiano wa kimapenzi na Blac Chyna kwa muda wa miaka 3 na kupata mtoto wa kiume King Cairo. Blac Chyna aliwai kuwa stripper na video model hivi sasa imeripotiwa kwamba hayupo tena kwenye uhusiano na Tyga.

Chanzo kikubwa cha Tyga kumuacha mwanamke huyo ni story kuhusu Blac Chyna kujihusisha kwenye mapenzi na mpenzi wake zamani anaitwa Fat Trel. Story hizo zinasema kwamba Blac Chyna alikuwa anatumia muda kujiachia na ex lover wake kwenye nyumba ya Tyga huko L.A na mtoto King Cairo akiwa chumba cha pili.

Japokuwa Blac Chyna amekanusha hizo story lakini Tyga hamuhusishi tena kwenye vitu vyake, mfano ameandaa party zaidi ya mbili lakini zote Blac Chyna hakualikwa. Mmoja kati ya hizo Tyga aliandaa birthday pool party ya msichana Kylie Jenner.

chyna
Blac Chyna

You Might Also Like

Tanzania ya 3 kutumia Audiomack, wasanii changamkieni

Mkali Burna boy ametuletea hii video mpya akiwa amemshirikisha Ed Sheeran

Tazama alichokifanya Diamond mbele ya Wizkid backstage, ampa Shavu Focalistic (video+)

Picha: Zuchu, Mwana FA na wengineo walivyotoa burudani hafla ya kuwaaga Wabunge

Str8upvibes kumleta ‘Kizz Daniel’ Tanzania?

Millard Ayo August 13, 2014
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Picha 4 za msikiti wa Mtambani ulivyoungua na moto jioni ya leo
Next Article Top 10 ya vikosi vya timu za soka vya gharama zaidi ulaya
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

PICHA: Matukio ya Mkutano Mkuu wa CAF uliyofanyika Tanzania
Sports August 11, 2022
Ndugu abiria kulipwa Milioni 150, Wakili aibua mapya ‘Watu binafsi waliopost meme wajiandae’
Top Stories August 11, 2022
Ajali Mbaya!! Watu sita wafariki, Polisi wafunguka, chanzo ‘Dereva alikuwa Mwendokasi, lilipinduka’
Top Stories August 11, 2022
Hafla ya makabidhiano ya data za utafutaji wa Mafuta na Gesi asilia kwa vitalu Zanzibar
Top Stories August 11, 2022

You Might also Like

Top Stories

Ndugu abiria kulipwa Milioni 150, Wakili aibua mapya ‘Watu binafsi waliopost meme wajiandae’

August 11, 2022
Top Stories

Ajali Mbaya!! Watu sita wafariki, Polisi wafunguka, chanzo ‘Dereva alikuwa Mwendokasi, lilipinduka’

August 11, 2022
Top Stories

Ukumbini: Bwana Harusi aonesha video ya mkewe akiwa faragha na shemeji yake chumbani

August 11, 2022
Top Stories

“Marufuku kuingia na silaha Taifa” Kamanda Muliro

August 11, 2022
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?