Premier Bet SwahiliFlix Ad Tigo Ad

Habari za Mastaa

Offset atuonyesha kipande cha Cardi B akijifungua ni kwenye makala yake mpya(+Video)

on

Rapper Offset ambaye ni mume wa Cardi B ameamua kuachia video fupi inayomuonyesha Cardi B wakati akijifungua mtoto wao wa kwanza Kulture ambaye alizaliwa July 10,2018.

Inatajwa kuwa lengo kubwa la Offset kuachia video hiyo ni kuwaweka mashabiki zake tayari katika ujio wa documentary(Makala) yake atakayoiachia rasmi February 22,2019 ambapo itahusisha kipande hicho cha mke wake kujifungua ikiwa pia tarehe hiyohiyo itaachiwa Album yake.

Kwenye tuzo za Grammy Rapper huyo wa kundi la Migos amesema kuwa yuko tayari kuwapa mashabiki kile wanachokihitaji kukijua kupitia maisha yao na anafahamu kuwa mashabiki wako na furaha ya kumuona mwanae Kulture ambaye aliwahi kuonyeshwa mara moja kupitia matando wa Instagram.

Ommy Dimpoz kamjibu Steve Nyerere “Konseksheni Yangu kubwa ni Afya”

Soma na hizi

Tupia Comments