Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni jana iliiamuru Kampuni ya Bima ya Dexter Insurance kumlipa Dereva wa Kampuni ya New Force, Waubani Linyama maarufu kama ‘Ndugu Abiria’ fidia ya Tsh. 150 milioni kwa kosa la kutumia picha yake kwenye mitandao ya kijamii kufanyia biashara na kijipatia faida.