Habari za Mastaa

Ty Dolla $ign haishiwi na midundo, nimeinasa nyingine mpya kutoka kwake; ‘Violent’ – (Video)!

on

Zimebaki siku mbili tu mpaka Ty Dolla Sign aidondoshe Album yake mpya Free TC, lakini tukiwa tunaendelea kuihesabu countdown kufikia uzinduzi wa Album hiyo, msanii huyo wa Hip Hop anaileta kwetu kazi yake nyingine kutoka kwenye mixtape yake ya mwezi October, Airplane Mode.

Ngoma inaitwa Violent, na Mtayarishaji wa ngoma hii si mwengine bali DJ Spinz & Southside… Kizuri zaidi kuhusu video hii mpya ni kwamba Wiz Khalifa na Rae Sremmurd wamekula shavu la kuonekana ndani ya video hii mpya ya Ty Dolla Sign.

SIGN

Inawezekana video hii imeshgusa macho yako, lakini kama bado hujafanikiwa kukutana nayo, feel free kuicheki video hiyo hapa chini.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE kwa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments