Michezo

Ushindi wa Man United vs Middlesbrough, Ibrahimovic akishindwa kufikia rekodi ya Messi

on

December 31 2016 siku moja kabla  ya kumaliza mwaka 2016 na kuingia mwaka 2017 michezo saba ya Ligi Kuu England ilichezwa, mchezo kati ya Man United dhidi ya Middlesbrough ulikuwa ni moja kati ya michezo 7 iliyochezwa Jumamosi ya December 31 2016.

3bbc8ffc00000578-4078328-image-a-9_1483204547946

Huu ulikuwa ni mchezo wa 19 Man United wa Ligi Kuu England msimu wa 2016/2017, kwa upande wa mshambuliaji wa Man United Zlatan Ibrahimovic ameshindwa kuvunja rekodi ya Lionel Messi ya kufunga jumla ya goli 52 kwa mwaka 2016 na kuishia goli zake zile zile 50 alizokuwa amefunga awali na kumfanya Messi kuongoza kwa wachezaji waliyofunga magoli mengi 2016.

3bbca47b00000578-4078328-image-a-5_1483204510320

Man United wamepata ushindi wa goli 2-1 dhidi ya Middlesbrough magoli yakifungwa na Anthony Martial dakika ya 85 na Paul Pogba dakika ya 87 huku goli pekee la Middlesbrough likifungwa na Grant Leadbitter dakika ya 67.

screen-shot-2016-12-31-at-8-47-02-pm

Msimamo wa Ligi Kuu England ulivyo kwa sasa kabla ya mchezo wa Liverpool vs Man City

ALL GOALS: JKT Ruvu vs Yanga December 17 2016, Full Time 0-3

Soma na hizi

Tupia Comments