Habari za Mastaa

Hii ni nyingine mpya kutoka kwa Tyga wiki hii; ‘Glitta’ (Video).

on

tyga-glitta

Tyga kwenye headlines, baada ya kuachia video mpya wiki iliyopita ‘Bu$$in Out Da Bag msanii huyo wa Hip hop hana mpango wa kumpumzika, yani ni ngoma juu ya ngoma na time hii anaisogeza kwetu video nyingine mpya!

glitta

Wimbo unaitwa Glitta na kama bado haujakufikia karibu uutazame hapa chini mtu wangu.

PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia za siasa muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos

Soma na hizi

Tupia Comments