Habari za Mastaa

Hii ni nyingine mpya kutoka kwa Tyga; “Ice Cream Man” – (Video)!

on

Msanii wa Hip Hop Marekani, Tyga anaendelea kuzisogeza kwetu videos kutoka kwenye mixtape yake ya F*k Wat They Talkin Bout. Baada ya kuachia Scandal, Clarity na Rap Star, Tyga leo anaisogeza kwetu video ya single nyingine kutoka kwenye mixtape hiyo.

ice2

Wimbo unaitwa Ice Cream Man na unapatikana kwenye mixtape yake ya mwezi wa nane F*k Wat They Talkin Bout. Mbali na hayo msanii huyo yupo studio anakamilisha mixtape yake mpya iliyopewa jina ‘Rawwest Nigga Alive’ inayotegemea kuwa sokoni mwezi November.

Feel free kuicheki official music video ya  Ice Cream Man kutoka kwa Tyga hapa chini.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

Soma na hizi

Tupia Comments