Video Mpya

VideoMPYA: Video ya mwisho ya Good Lyfe kabla ya kifo cha Radio

on

Kundi la muziki kutoka Uganda Good lyfe lilokuwa linaundwa na marehemu Radio pamoja na mwenzake Weasel ambaye ameachia video ya wimbo wao mpya “Kyuma” wakiwa wamemshirikisha Spice Diana ikiwa hiyo ni video iliyofanywa kabla ya umauti haujamfika Radio.

Kingine cha kufahamu kutoka Wasafi Fm na Wasafi Tv

Soma na hizi

Tupia Comments