Premier Bet
TMDA Ad

Habari za Mastaa

Amber Lulu akubali yaishe ni penzi lake na Prezzo

on

Inawezekana penzi kati ya staa maarufu kutokea Nairobi Kenya Prezzo na Amber Lulu limefikia ukingoni rasmi? hili ni moja ya swali ambalo wengi wamekuwa wakijiuliza na hii ni baada ya picha na caption aliyoiandika Amber Lulu kupitia ukurasa wake wa instagram leo July 2,2018.

Amber Lulu ameandika “Nimechokaaaaa 🙌🙌 maisha mengine yaendelee ya mabwana yamenishinda ngoja nikitulize money first Maana sioni jipya”

Penzi hilo lilionekana kuanza na kuwa wazi October 2017 na hivyo Amber Lulu ameonekana kuanika rasmi kuwa kwa sasa yupo single kwani maisha ya kimapenzi yamemshinda kwa sasa.

Gigy Money alilimiss buku la Mo J “tunataka kuzaa mtoto wa kiume”

Soma na hizi

Tupia Comments