Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imefanikiwa kupata mkopo nafuu kutoka Shirika la Fedha la Kimataifa( IMF) wenye thamani ya shilingi trilion 1.3 kwa ajili ya kukabiliana na athari za Covid- 19 katika Sekta ya Uchumi na Kijamii.
Akizungumza Dodoma leo, Waziri wa Fedha na Mipango Dr. Mwigulu Nchemba amesema kuwa fedha hizo zitatumika katika Sekta ziliozoathiriwa na Covid-19 ikiwemo Sekta ya Utalii, Elimu, Afya, Maji pamoja na kusaidia kaya maskini kupitia TASAF.
WASANII WA SIMBA WAIBUKA KUELEKEA SIMBA DAY, WAJITAPA HAYA