AyoTV

VIDEO: Makosa matatu yaliyofanywa na Watanzania waliofukuzwa Msumbiji

on

Bado ishu ya Watanzania kuondolewa kwenye nchi jirani ya Msumbiji ipo kwenye headlines ambapo leo February 27 2017 Waziri wa Mambo ya nje na ushirikiano wa Afrika  Mashariki Dr. Augustine Mahiga amezungumza Dodoma.

Waziri Mahiga ametaja baadhi ya sababu zilizopelekea Watanzania hao kufukuzwa na hapa ninamnukuu >>> “Watanzania walioondolewa Msumbiji wengi wao walikwenda kwa njia ambazo hata kwa Tanzania sio halali”

Kupata kila akichosema unaweza kubonyeza play kwenye hii video hapa chini kujionea

VIDEO: Simu Mzee Kikwete aliyompigia Ridhiwani Kikwete baada ya kuona picha aliyopiga na Edward Lowassa, bonyeza play kutazama kila alichosema kwenye hii video hapa chini

BREAKING NEWS zote na stori za mastaa utazipata kwa Reporter wako MillardAyo, hakikisha umejiunga na mimi kwenye Facebook, Twitter, Instagram, Snapchat, Youtube, APP kwenye ANDROID na IOS kote huko kwa jina hilohilo la @millardayo

Soma na hizi

Tupia Comments