AyoTV

VIDEO: Watanzania waliofungwa mataifa mengine waongezeka, Waziri kataja idadi na nchi zenyewe

on

Kumekuwa na headlines mbalimbali kuhusu matukio ya kiuharifu yanayokuwa yakijitokeza ndani na nje ya Tanzania, ishu ya uuzaji na utumiaji wa dawa za kulevya umekuwa ikisibabisha vijana wengi pia maisha yao kuishia jela baada ya kukamatwa.

Nakukutanisha na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki kikanda na Kimataifa  Augustine Mahiga akitusogezea takwimu ya Watanzania zaidi ya 408 waliokamatwa na kufungwa nchi za nje kwa uuzaji wa dawa za kulevya.

ULIIKOSA HII? WAZIRI NDALICHAKO KATOLEA UFAFANUZI KUFUKUZWA KWA WANAFUNZI WA UDOM

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments