Top Stories

Dk. MAGUFULI anaapishwa, kesho ni mapumziko TZ!!

on

Zimebaki saa chache kabla ya kushuhudia tukio zima la kuapishwa kwa Rais wa awamu ya tano atakayeongoza Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kipindi cha miaka mitano inayofatia.

Tayari tumepata taarifa mbalimbali kuhusu maandalizi yalipofikia mpaka sasa, lakini ninayo taarifa pia kutoka Ikulu ambapo Rais anayemaliza muda wake, Jakaya Kikwete ametangaza siku ya kesho November 05 2015 kuwa siku ya mapumziko ili kuwapa fursa Watanzania kushuhudia tukio hilo.

Hii ni sehemu ya taarifa iliyosambazwa na Katibu Mkuu Kiongozi Ikulu, Ombeni Sefue.

Ikulu

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenyeTwitter,FB,Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAMTWITTERFB YOUTUBE.

Soma na hizi

Tupia Comments