Michezo

Lukas Podolski ni mchezaji wa Arsenal, tazama alichopost kuhusu Tanzania. @Podolski10

on

Screen Shot 2014-03-29 at 2.33.53 AMHaijajulikana Podolski alipataje hizi picha ila huyu hapa chini ni Mtanzania alievaa jezi ya staa huyu wa Arsenal ambapo hiki kitendo kimemfanya Podolski kumsifia huyu shabiki kwamba jezi imemtoa freshi na kuitakia kila la kheri Tanzania.

Screen Shot 2014-03-29 at 2.21.16 AM Screen Shot 2014-03-29 at 2.21.24 AMHiyo hapo juu ni kwenye instagram ambapo picha hiihii pia aliipeleka kwenye page yake ya twitter kama inavyoonekana hapa chini

Screen Shot 2014-03-29 at 2.37.50 AMAsante sana kwa mtu wangu wa nguvu, kwenye twitter

Tupia Comments