Habari za Mastaa

DC Ally Happy ampangishia chumba cha kuishi Msanii Mandojo, atoa saa 48

on

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Ally Happy amefika katika nyumba ya Msanii Mandojo ambayo imebomolewa na watu huku ikidaiwa eneo hilo kuwa na mgogoro, Ally Happy amejitolea kumlipia chumba na Sebule cha kuishi msanii huyo kwa muda wa miezi sita huku akiwapa saa 48 watu waliohusika kuuza eneo ambalo linasemekana siyo lakwao.

Lakini pia DC Ally Happy amewataka wahusika wote wanaodai kuwa eneo ni lao ambao ni watu watatu, Hamis Shuari, Arnold Matoyo, Richard Maridadi pamoja na msanii Mandojo kufika siku ya jumanne katika ofisi yake ili kusikiliza pande zote..

Bonyeza PLAY hapa chini kutazama kila kitu..

‘Nabii’ Godwin kazungumza alivyooteshwa Kuhusu Maandamano

Steve Nyerere kafunguka “Wenye akili tupo wachache, wajinga wengi wanatuchafua”

Soma na hizi

Tupia Comments