Habari za Mastaa

EXCLUSIVE: “Mchumba mpya anamlea Dogo Janja, tajiri wa Uwoya atanifunga, ndoa ilikuwa kivuli”

on

Mwigizaji Mwijaku amezungumza kuhusu kile kinachoendelea mitandaoni kati ya Irene Uwoya na Dogo Janja ikiwemo uvumi wawili hao kuachana na kila mmoja yupo na penzi jipya, Mwijaku amedai kuwa ndoa ya Uwoya na Dogo Janja ilikuwa kivuli ila yupo tajiri mmoja anayemuweka mjini Uwoya.

Bonyeza PLAY hapa chini kutazama FULL INTERVIEW.

VIDEO: UKALI WA MWIJAKU KWA WANAOLALAMIKA JANUARY NGUMU KIFEDHA KATAJA WAMFANO

UTAIPENDA: Mpaka studio producer Moko akitengeneza ‘Mwambie sina’ ya Kings music, Kafunguka haya

Soma na hizi

Tupia Comments