Video Mpya

VideoMPYA: Tazama Enock Bella alivyofungishwa ndoa ya mkeka, wimbo mpya

on

Toka alipoacha kufanya kazi kwa kujitegemea na kuacha kufanya kazi na Yamoto Bend msanii Enock Bella kwa sasa akiwa anasimamiwa na lebo nyingine kutokea Nairobi Kenya, ametuletea video ya wimbo wake mpya unaoitwa ‘I Swear’ karibu kuitazama hapa chini kwa kubonyeza PLAY.

IMEFICHUKA!! Mchungaji amcharukia Mama Amber Rutty “Natumaga hela ya matumizi”

Soma na hizi

Tupia Comments