Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Mrembo kafanya upasuaji mara 13 afanane na Ivanka Trump…kisa??
Share
Notification Show More
Latest News
Madiwani (3) Waandamanaji 87,wakamatwa nchini Afika ya kusini.
March 20, 2023
Jela kwa mauaji,kuchomoa moyo na kuupika kulisha familia yake “Ninawaondolea mapepo” .
March 20, 2023
Tunisia yaadhimisha Miaka 67 ya Uhuru.
March 20, 2023
Serikali ya Taliban yapiga marufuku zao la bangi.
March 20, 2023
Habari kubwa Magazetini Kenya leo March 20, 2023
March 20, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Top Stories > Mrembo kafanya upasuaji mara 13 afanane na Ivanka Trump…kisa??
Top StoriesVituko/ Comedy

Mrembo kafanya upasuaji mara 13 afanane na Ivanka Trump…kisa??

August 22, 2017
Share
2 Min Read
SHARE

Upo msemo maarufu wa Waswahili kuwa ‘Duniani wawili wawili’ wakiwa na maana kuwa watu hufanana lakini kufanana ambako wawili hao hawajawahi kuonana na hawajuani.

Lakini duniani isivyoishiwa na mambo wapo ambao hufikiria kufanana na watu maarufu hata hufikia hatua ya kufanya upasuaji kwa ajili ya kufanana na watu wanaowapenda.

Sasa stori iliyonifikia ni kwamba Mwanamke mmoja wa Marekani anayeitwa Tiffany ameweka hadharani nia yake ya kujibadili mwili wake kwa upasuaji ili afanane na mtoto wa kwanza wa Rais wa Marekani Donald Trump, Ivanka Trump.

Ivanka Trump

Tiffany ameweka wazi kuwa hadi wakati huu ameshafanyiwa upasuaji mara 13 ndani ya mwaka mmoja ili afanane na Ivanka na anaamini alikua mrembo zamani lakini pia mwonekano wake mpya ni mzuri zaidi.

Kabla ya upasuaji Tiffany alikuwa na nywele ndefu za kahawia lakini upasuaji huo umefanya nywele zake ziwe ‘blond’ na tangu aanze safari yake hiyo amekwishafanya mabadiliko kwenye sehemu za kifua, pua, macho, mdomo, tumbo pamoja na makalio.

Nini kilichomfanya Tiffany kutaka kufanana na Mjasiriamali huyo? Ni kwa sababu anaamini Ivanka ni “role model kwa wanawake wote.”

Tiffany

GOOD NEWS: UPANDE MMOJA WA FLYOVER TAZARA UMEINUKA

Uliiona hii? Birthday Party ya Romy Jons, Team nzima ya WCB ndani 

You Might Also Like

Madiwani (3) Waandamanaji 87,wakamatwa nchini Afika ya kusini.

Jela kwa mauaji,kuchomoa moyo na kuupika kulisha familia yake “Ninawaondolea mapepo” .

Tunisia yaadhimisha Miaka 67 ya Uhuru.

Serikali ya Taliban yapiga marufuku zao la bangi.

Video: Jamaa atumia dakika 8 kula Wali na nyama kilo mbili

TAGGED: TZA HABARI, vituko
Admin August 22, 2017
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article GOOD NEWS: Upande mmoja wa Flyover TAZARA umeinuka
Next Article App maalumu kuzinduliwa China, unakodi Mlinzi kwa Tsh. 22,000 kwa saa
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Madiwani (3) Waandamanaji 87,wakamatwa nchini Afika ya kusini.
Top Stories March 20, 2023
Jela kwa mauaji,kuchomoa moyo na kuupika kulisha familia yake “Ninawaondolea mapepo” .
Top Stories March 20, 2023
Tunisia yaadhimisha Miaka 67 ya Uhuru.
Top Stories March 20, 2023
Serikali ya Taliban yapiga marufuku zao la bangi.
Top Stories March 20, 2023

You Might also Like

Top Stories

Madiwani (3) Waandamanaji 87,wakamatwa nchini Afika ya kusini.

March 20, 2023
Top Stories

Jela kwa mauaji,kuchomoa moyo na kuupika kulisha familia yake “Ninawaondolea mapepo” .

March 20, 2023
Top Stories

Tunisia yaadhimisha Miaka 67 ya Uhuru.

March 20, 2023
Top Stories

Video: Jamaa atumia dakika 8 kula Wali na nyama kilo mbili

March 19, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?