Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Kutoka Mahakamani leo kuhusu kesi ya Rais wa Simba SC na Makamu wake
Share
Notification Show More
Latest News
Mwili waopolewa mto Msimbazi DSM, Jeshi la Zimamoto (VideO+)
March 22, 2023
Rais Samia atoa Bilioni 196.6 Mlele Kwa miaka miwili
March 22, 2023
Video: Rais Samia amuibua Ally Hapi, Afunguka haya
March 22, 2023
Mfungo wa Ramadhan Kaya 1000 zapatiwa vyakula “Tunarudisha kwa Jamii”
March 22, 2023
Jamaa aangusha gari Mtaroni, Dereva haonekani, mashuhuda wasimulia, ‘Alikuwa anaongea na simu’
March 22, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Top Stories > Kutoka Mahakamani leo kuhusu kesi ya Rais wa Simba SC na Makamu wake
Top Stories

Kutoka Mahakamani leo kuhusu kesi ya Rais wa Simba SC na Makamu wake

July 31, 2017
Share
1 Min Read
SHARE

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu leo July 31, 2017 imetoa siku saba kwa upande wa mashtaka ufanye jitihada za kukamilisha upelelezi wa kesi inayowakabili Rais wa Simba SC, Evans Aveva na Makamu wake Geofrey Nyange ‘Kaburu’.

Hatua hiyo imekuja baada ya Mwendesha Mashitaka wa TAKUKURU, Leonard Swai  kudai mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Victoria Nongwa kuwa upelelezi wa shauri hilo haujakamilika.

Upande wa utetezi ukiongozwa na Wakili Mtakyamirwa Philemon ulidai mara ya nne sasa upande wa mashitaka unadai upelelezi haujakamilika na kudai wanatakiwa kuhakikisha wanakuwa makini na shauri hilo ili wakamilishe upelelezi kwani washitakiwa wako ndani kwa kosa lisilo na dhamana.

Hata hivyo, Swai alidai kuwa mashitaka ya kughushi wanahitaji upelelezi wa kina hivyo anaomba Mahakama kuwapa siku 14.

Hakimu Nongwa alisema Mahakama imezingatia hoja za pande zote mbili kwamba mashitaka ya kughushi yanachukua muda mrefu kukamilika na kusisitiza kuwa licha ya sheria kutaka kuahirishwa kwa kesi kusizidi siku 14 ombi la upande wa utetezi lina maana hivyo kutoa muda huo ili kama washitakiwa wana kosa watiwe hatiani.

Hakimu Nongwa aliahirisha kesi hiyo hadi August 7, 2017 kwa ajili ya kutajwa.

ULIPITWA? Good news iliyotangazwa na SportPesa kwa Simba SC…bonyeza PLAY kutazama!

You Might Also Like

Mwili waopolewa mto Msimbazi DSM, Jeshi la Zimamoto (VideO+)

Rais Samia atoa Bilioni 196.6 Mlele Kwa miaka miwili

Video: Rais Samia amuibua Ally Hapi, Afunguka haya

Mfungo wa Ramadhan Kaya 1000 zapatiwa vyakula “Tunarudisha kwa Jamii”

Jamaa aangusha gari Mtaroni, Dereva haonekani, mashuhuda wasimulia, ‘Alikuwa anaongea na simu’

TAGGED: Mahakamani, Simba Sports Club, Soka bongo, TZA HABARI
Millard Ayo July 31, 2017
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Ukoje utaratibu wa kutengeneza fedha ya TZ? Vipi kuhusu kuweka kiwanda?
Next Article Askofu Josephat Gwajima ameshindwa kwenda Mahakamani leo
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Mwili waopolewa mto Msimbazi DSM, Jeshi la Zimamoto (VideO+)
Top Stories March 22, 2023
Rais Samia atoa Bilioni 196.6 Mlele Kwa miaka miwili
Top Stories March 22, 2023
Video: Rais Samia amuibua Ally Hapi, Afunguka haya
Top Stories March 22, 2023
Mfungo wa Ramadhan Kaya 1000 zapatiwa vyakula “Tunarudisha kwa Jamii”
Top Stories March 22, 2023

You Might also Like

Top Stories

Mwili waopolewa mto Msimbazi DSM, Jeshi la Zimamoto (VideO+)

March 22, 2023
Top Stories

Rais Samia atoa Bilioni 196.6 Mlele Kwa miaka miwili

March 22, 2023
Top Stories

Video: Rais Samia amuibua Ally Hapi, Afunguka haya

March 22, 2023
Top Stories

Jamaa aangusha gari Mtaroni, Dereva haonekani, mashuhuda wasimulia, ‘Alikuwa anaongea na simu’

March 22, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?