Habari za Mastaa

Mdogo wa Sam wa Ukweli kazungumza “Marehemu Kaka kaacha pengo”

on

Ndugu wa damu wa marehemu Sam wa Ukweli anayeitwa Kijanga wa Ukweli amejiunga kwenye familia ya game ya Bongofleva akiwa na lengo la kuja kuziba pengo la kaka yake kwenye muziki huo, kupitia AyoTV na millardayo.com Kijanga wa Ukweli amemtaja producer ambaye alikuwa akifanya kazi na marehemu kaka yake ndiyo mtu mwenye mchango mkubwa wa yeye kuingia kwenye game.

Bonyeza PLAY hapa chini kutazama Video.

VIDEO: COMEDIAN WA MIAKA 19 ANAJISOMESHA KWA KUCHEKESHA/ ‘MAMA MUUZA MITUMBA’

Soma na hizi

Tupia Comments