Ad

AyoTV

EXCLUSIVE: G Nako kufuata nyayo za Jux

on

Ni headlines za msanii kutoka kwenye kundi la Weusi, G Nako ambapo amekaa karibu na millardayo.com & Ayo TV kueleza mipango yake inayokuja ikiwemo ya kuanzisha branda ya nguo zake.

Akizungumza kwenye millardayo.com & Ayo TV aliyaongea haya>>>>>Kuna mipango mingi inakuja ikiwemo mimi mwenyewe kuanzisha brand yangu ya nguo pia kuna mipango ya Weusi inakuja kwahiyo mashabiki wetu wakae tayari kwa mapokezi’- G nako

ULIIKOSA HII YA QUICK ROCKA KWENYE STUDIO ZA MILLARDAYO BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA

Soma na hizi

Tupia Comments