AyoTV

Zawadi zilizotolewa kwa waliofaulu masomo ya Sayansi Zanzibar

on

Mjasiriamali na mdau mkubwa wa Elimu Zanzibar Salim Omar kutoka Pemba ametoa zawadi ya laptop 4 zenye thamani ya Tsh. Milioni 4.4 na fedha taslimu zaidi ya Tsh. 500,000 kwa wanafunzi waliofanya vizuri katika masomo ya Sayansi Zanzibar.

Katika hafla hiyo Salim ameeleza juhudi anazozifanya ili kuongeza wigo katika kuwasaidia wananfunzi wengi zaidi ambapo pia alimualika Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Ayoub Mahmoud Mohammed kuzindua Taasisi yake inayoitwa Green Light Foundation yenye lengo la kusaidia vijana wanofanya vizuri lakini wanakumbwa na changamoto za kujiendeleza kimasomo.

Mtazame kwenye VIDEO hii Mtanzania aliyewahi kuweka rehani gari lake kumsadia kijana ada ya Shule!

ULIPITWA? Alichofunguka King Majuto kuhusu wanaosema ana ugomvi na Gigy Money!!!!

 

 

Soma na hizi

Tupia Comments