Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: U HEARD: Sauti ya Diamond akikiri kuwa na mtoto kabla ya Tiffah
Share
Notification Show More
Latest News
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo May 30, 2023
May 30, 2023
Waziri Masauni asimama Bungeni Mei 29, 2023 ‘Watanzania 66 waukana Uraia’
May 29, 2023
Sentensi za Mkurugenzi wa Asas kwenye Mkutano Mkuu wa 37 wa Jumuiya ya Tawala za mitaa Tanzania (ALAT)
May 29, 2023
Hospitali yachunguzwa kwa madai ya kuwaweka watoto wachanga kwenye maboksi
May 29, 2023
Marekani yabatilisha visa ya spika wa bunge la Uganda baada ya saini Mswada mkali wa ushoga kuwa sheria
May 29, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Habari za Mastaa > U HEARD: Sauti ya Diamond akikiri kuwa na mtoto kabla ya Tiffah
Habari za Mastaa

U HEARD: Sauti ya Diamond akikiri kuwa na mtoto kabla ya Tiffah

March 10, 2017
Share
2 Min Read
SHARE
 U-heard ya leo March 10, 2017 inamuhusu Mwimbaji Diamond Platinumz kudaiwa kuwa na mtoto kabla ya Tiffah na Prince Nillan ambapo mtangazaji Soudy Brown kabla ya kuzungumza na kaka wa dada anayedaiwa kuzaa na Diamond aliicheza sauti anayosikika Diamond akikiri kuwa alikuwa na mwanamke Mwanza ambaye aliwahi kusema ana ujauzito wake na mpaka alikuwa akimhudumia  

Kwenye sauti hiyo Diamond amesikika akisema ….>>>“Niliwahi kwenda mwanza zamani nilikuwa katika show ya matamasha makubwa nikakutana na mtoto kawaka alikuwa anatokea kwenye chumba cha Brother Dully, akaja kwangu Mimi nikafanya yangu” :-Diamond

“Nilivyorudi huku demu akanambia  ana mimba nikaanza kuhudumia, nikaenda mwanza kumtafuta japo kwao walini-Mind wakaona kama nazingua, nikambana kujua ukweli kama ana mtoto, maana alinidanganya kuwa katoa Mimba,

Nilipomchunguza nikajua kweli amezaa nikamuomba nimuone mwanangu hata kwenye picha ndipo asubuhi akaondoka pale hotelini tulipokuwa ili akaniletee picha nimuone,  alivyoondoka muda wa ndege yangu kuondoka ulikuwa umefika akawa amechelewa kurudi, nilivyompigia simu akakataa kunitumia picha kwa simu” :-Diamond

Soudy brown alipo mtafuta mama wa mtoto pamoja ndugu wa karibu hakufanikiwa zaidi ya kaka wa Dada anayesemekana kazaa na Diamond…..>>>“Ni kweli Diamond kazaa na dada yangu, ni mtoto wa mama yangu mdogo, anaitwa Anita anafanya kazi ya Salon na mtoto huyo anafanana na Diamond kila kitu na mtoto ana miaka mitano au sita na mtoto anaitwa Queen yaani ukimuangalia mdomo ule ule japo mama yake kaolewa”

Bonyeza Play hapa chini kusikiliza Full story.

 
 VIDEO: GoodNEWS Nyingine kutoka WCB ya Diamond Platnumz

VIDEO: Diamond alianza kwa kunilipa Elfu 5 na sikuona ni tatizo -KIFESI, Bonyeza play hapa chini kutazama

You Might Also Like

Meneja Chambuso afunguka kubwagana na Aslay

B Dozen amjibu Majizzo, Maulid Kitenge apigilia Msumari

Kwa mara ya kwanza Kajala afunguka sababu za kuachana na Harmonize, aibua mapya

Harmonize aibua mapywa, afichua ya Dada wa Diamond, aeleza alivyoshiriki kwenye wimbo huu mpya

Tazama Diamond ‘Sheikh Mansoor’ akiwapokea Watoto wake Airport na Rolls Royce ‘Tiffah na Nillah’

TAGGED: U Heard
Victor Kileo TZA March 10, 2017
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article VIDEO: Polisi DSM wameongea kuhusu kukamatwa kwa Vanessa Mdee
Next Article Katika list ya wachezaji zaidi ya 176, Samatta katajwa katika kikosi bora cha wiki Europa
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo May 30, 2023
Magazeti May 30, 2023
Waziri Masauni asimama Bungeni Mei 29, 2023 ‘Watanzania 66 waukana Uraia’
Top Stories May 29, 2023
Sentensi za Mkurugenzi wa Asas kwenye Mkutano Mkuu wa 37 wa Jumuiya ya Tawala za mitaa Tanzania (ALAT)
Top Stories May 29, 2023
Hospitali yachunguzwa kwa madai ya kuwaweka watoto wachanga kwenye maboksi
Top Stories May 29, 2023

You Might also Like

Top Stories

Waziri Masauni asimama Bungeni Mei 29, 2023 ‘Watanzania 66 waukana Uraia’

May 29, 2023
Top Stories

Sentensi za Mkurugenzi wa Asas kwenye Mkutano Mkuu wa 37 wa Jumuiya ya Tawala za mitaa Tanzania (ALAT)

May 29, 2023

Marekani yabatilisha visa ya spika wa bunge la Uganda baada ya saini Mswada mkali wa ushoga kuwa sheria

May 29, 2023
Top Stories

Waziri wa mambo ya nje wa Urusi Sergey Lavrov azuru Kenya

May 29, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?