Habari za Mastaa

Mipasho ya Wanandoa: Uwoya & Dogo Janja “Sifa za kijinga utakufa”

on

Baada ya headlines za ndoa ya Dogo Janja na Irene Uwoya kusemekana kwamba imevunjika, wawili hao wanaonekana kurushiana vijembe kwenye mitandao ya kijamii ikiwa bado hawajathibitisha kuachana kwao mahali popote.

Uzito wa mvutano wa Irene Uwoya na Dogo Janja unakuja baada ya baba mlezi wa Dogo Janja ambaye ni Madee kupost video kwenye page yake ya instagram akisikiliza wimbo wa marehemu msanii Jack Simela huku akimtaja Dogo Janja kama anamuhusia hivi kuhusu mahusiano ya mapenzi.

Irene Uwoya >>>”Kutoka kufanya hiphop mpaka taarab ohhh shame 😏”

Dogo Janja >>>Ni Bora Uonekane Hauna Hela, Kuliko Kutumia Hela Nyingi Ili Uwaonyeshe na Wewe Uko Vizuri… #AchaKufakeFakeLife#ItsBetterToLiveYourRealLife#HujazaliwaKufrahishaKilaMja#SifaZaKijingaUtakufa #KazaTako#KomaAaa .”

JANUARY MC PILIPILI KAMVISHA PETE MCHUMBA AKE HUKU AKILIA

Soma na hizi

Tupia Comments