Michezo

PICHA: Michoro ya ramani ya ujenzi wa uwanja wa timu ya David Beckham

on

Club ya Inter Miami itakayokuwa inamilikiwa na staa wa zamani wa Man United na LA Galaxy David Beckham imeonesha michoro ya ramani ya miundombinu yao ya uwanja wa club wa mechi na mazoezi utakavyokuwa kuelekea kushiriki Ligi Kuu ya Marekani MLS.

Timu hiyo ya Inter Miami ambaye Rais wake ni David Beckham inamilikiwa na watu watano akiwemo David Beckham mwenyewe, club hiyo ilianzishwa January 14 2018 na itaanza kushiriki Ligi Kuu ya Marekani MLS, hiyo inaelezwa ni mpango wa muda mrefu ambao ulikuwepo kati ya MLS na David Beckham toka anacheza LA Galaxy.

Msimamo wa Samatta kuhusu hatma ya Kapombe katika mgao wa Taifa Stars

Soma na hizi

Tupia Comments