Habari za Mastaa

REKODI: Wizkid amevunja hii rekodi iliyodumu miaka 35 Billboard

on

Mwimbaji staa wa Nigeria WizKid maarufu kama Star boy ameingia kwenye headlines mpya Duniani baada ya kuvunja rekodi ambayo ilidumu kwa miaka 35 kwenye Billboard 200 Marekani.

Hii inamfanya Star Boy Wizkid kuwa Mnigeria wa pili kuingia kwenye chat hizo akitanguliwa na Mnigeria mwenzake ambaye ni msanii mkongwe King Sunny Ade aliyetamba na ngoma ya Ja Funmi mwaka 1982 na kushika nafasi ya 118 katika chat hizo.

ULIPITWA NA HII GOOD NEWS? Hamisa Mobeto amepata mtoto wa kiume…tazama kwa kuplay video hii chini!!!

Soma na hizi

Tupia Comments